MAFUNZO YA MUDA MFUPI KWA MADALALI/MAWAKALA



Chuo cha Elimu ya Biashara ( CBE ) ni chuo kikongwe katika kufundisha fani mbalimbali za biashara kama vile Uongozi wa Biashara,Manunuzi na Ugavi, Uongozi wa Masoko na Uhasibu. Kwa kutambua umuhimu wa elimu kwa makundi mbalimbali ya wafanya biashara imeandaa mafunzo ya muda mfupi ya siku tatu kwa madalali wa ngazi zote  yatakayofanyika katika Kampasi ya Dodoma kuanzia:

Fungua hapa maelezo kamili :   MAFUNZO YA MADALALI NA MAWAKALA