New events

GRADUATION DODOMA.

Published in New events
Monday, 22 November 2021 00:00
42 Hit
(0 votes)

Mgeni rasmi katika mahafali ya 56 CBE DODOMA 2021,naibu katibu mkuu wizara ya wiwanda na biashara Dr. Hashil  Abdalak akiongea na wahitimu pamoja na waalikwa wote katika mahafali hayo.

TANGAZO KWA WAHITIMU MAHAFALI YA 56 CBE DODOMA

Published in New events
Tuesday, 02 November 2021 00:00
344 Hit
(0 votes)

light arrowCHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA DODOMA KINAWATAARIFU WAHITIMU WOTE KUWA MAHAFALI YA 56 YATAFANYIKA TAREHE 20 NOVEMBA,2021 KATIKA UWANJA WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA DODOMA. WAHITIMU WOTE WANAHIMIZWA KUHUDHURIA MAZOEZI (REHERSAL) TAREHE 19,NOVEMBA 2021 BILA KUKOSA KAMA ILIVYOELEKEZWA. MHITIMU YEYOTE ATAKAYESHINDWA KUHUDHURIA MAZOEZI HATARUHUSIWA KUINGIA KATIKA UKUMBI WA MAHAFALI.
NYOTE MNAKARIBISHWA

GRADUANDS LIST 2021 GRADUATION CEREMONY

Published in New events
Thursday, 21 October 2021 00:00
536 Hit
(1 Vote)

light arrowTHIS IS TO INFORM YOU THAT THE LIST OF NOVEMBER 2021 GRADUANTS IS HERE ATTACHED FOR NAMES VERIFICATION.

 

 THE FOLLOWING ARE IMPORTANT THINGS TO OBSERVE:

 

 1. MAKE SURE YOUR NAME APPEAR THE SAME AS IN YOUR CERTIFICATE OF SECONDARY EDUCATION

 

 

 1. IF YOUR NAME IS NOT HERE PLEASE VISIT YOUR HEAD OF DEPARTMENT OFFICE AS SOON AS POSSIBLE

 

       Download Advert here  : LIST OF GRADUANDS 2021

TANGAZO LA KUJITHIBITISHA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA TAMISEMI

Published in New events
Friday, 11 June 2021 00:00
5538 Hit
(7 votes)

 NAMNA YA KUTHIBITISHA KUJIUNGA NA CHUO KWA  WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA OR -  TAMISEMI   KWA MWAKA 2021

 1. INGIA KWENYE WEBSITE YA NACTE na  (www.nacte.go.tz)
 2. INGIA KWENYE KIPENGELE CHA UTHIBITISHO UCHAGUZI OR – TAMISEMI 2021 au bongeza link hii kuingia moja kwa moja kujithibitisha :  UTHIBITISHO UCHAGUZI OR – TAMISEMI 2021
 3. INGIZA NAMBA YAKO YA MTIHANI mf (S0000/0000)
 4. CHAGUA ALAMA ULIYOPATA KWENYE SOMO TAJWA
 5. HAKIKI TAARIFA ZAKO ZA KUCHAGULIWA
 6. BONYEZA NENO THIBITISHA
 7. JAZA TAARIFA ZAKO KWA USAHIHI KAMA ZINAVYOHITAJIKA KUJAZWA.
 8. BONYEZA KIPENGELE CHA WASILISHA KUKAMILISHA UTHIBITISHO WAKO.
 9. MWISHO WA UTHIBITISHO NI MWEZI WA NANE (8) 2021.

KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NA

0759 091 221

0763 825 260

0734 330 104History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act. 

Connect with us :

     IconFacebookIconTwitterinsta 2IconYoutubeIconLinkedIn

 

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177