UKAGUZI WA SERIKALI CHUONI KUHUSU KUJIKINGA NA COVID-19

Rate this item
(3 votes)
UKAGUZI WA SERIKALI CHUONI KUHUSU KUJIKINGA NA COVID-19

light arrowMkurugenzi wa CBE Dodoma Kampasi,Dr. Kembo Bwana akitoa maelezo kwenye kamati maalumu ya ukaguzi wa utekelezaji wa maagizo ya Serikali katika vyuo vya juu ya kujikinga na maambuizi ya COVID-19.Kamati hiyo ya watalamu ina jumuisha watalamu wa afya na maendeleo ya jamii toka ofisi ya Mkuu za Mkoa wa Dodoma na Mkurugenzi wa jiji la Dodoma . Maeneo waliyokagua ni pamoja na maeneo ya kunawia wanafunzi, wageni na wafanyakazi, vipima joto, uvaaji wa barakoa kwa wanafunzi, wageni na wafanyakazi, social distance madarasani mabwenini, Cafeteria, na sehemu zingine chuoni, vitakasa mikono kwa watumishi n.k. Kwa ujumla wameipongeza menejimenti ya Chuo kwa kutekeleza vyema maelekezo ya serikali na kukitaka chuo kiendelee kuboresha huduma za kujikinga na COVID-19. Hongereni menejimenti na wafanyakazi wote kwa kufanya vizuriHistory of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act. 

Connect with us :

     IconFacebookIconTwitterinsta 2IconYoutubeIconLinkedIn

 

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177