TANGAZO LA KUJITHIBITISHA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA TAMISEMI

Rate this item
(7 votes)
TANGAZO LA KUJITHIBITISHA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA TAMISEMI

 NAMNA YA KUTHIBITISHA KUJIUNGA NA CHUO KWA  WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA OR -  TAMISEMI   KWA MWAKA 2021

  1. INGIA KWENYE WEBSITE YA NACTE na  (www.nacte.go.tz)
  2. INGIA KWENYE KIPENGELE CHA UTHIBITISHO UCHAGUZI OR – TAMISEMI 2021 au bongeza link hii kuingia moja kwa moja kujithibitisha :  UTHIBITISHO UCHAGUZI OR – TAMISEMI 2021
  3. INGIZA NAMBA YAKO YA MTIHANI mf (S0000/0000)
  4. CHAGUA ALAMA ULIYOPATA KWENYE SOMO TAJWA
  5. HAKIKI TAARIFA ZAKO ZA KUCHAGULIWA
  6. BONYEZA NENO THIBITISHA
  7. JAZA TAARIFA ZAKO KWA USAHIHI KAMA ZINAVYOHITAJIKA KUJAZWA.
  8. BONYEZA KIPENGELE CHA WASILISHA KUKAMILISHA UTHIBITISHO WAKO.
  9. MWISHO WA UTHIBITISHO NI MWEZI WA NANE (8) 2021.

KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NA

0759 091 221

0763 825 260

0734 330 104History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act. 

Connect with us :

     IconFacebookIconTwitterinsta 2IconYoutubeIconLinkedIn

 

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177