New events

QUALITATIVE RESEARCH TRAINING- CBE DODOMA

Published in New events
Tuesday, 28 July 2020 00:00
795 Hit
(1 Vote)

CBE DODOMA campus held a seminar which focused on enlightening stakeholders and especially academicians on various aspects in Qualiatve Reserach development and processes.

TANGAZO KWA WANAFUNZI WANAOLIPIWA NA BODI YA MIKOPO(HESLB) KWA MWAKA 2020/2021

Published in New events
Thursday, 16 July 2020 00:00
6467 Hit
(33 votes)

light arrowMWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA 2020/2021


Soma ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Mwaka 2020/2021’  unapatikana kwa luga ya kiingereza na Kiswahili

  1. Mwongozo kwa Kiswahili bonyeza hapa
  2. Guidelines and Criteria in English click here

Imetolewa na:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

DAR ES SALAAM

UKAGUZI WA SERIKALI CHUONI KUHUSU KUJIKINGA NA COVID-19

Published in New events
Wednesday, 03 June 2020 00:00
1385 Hit
(3 votes)

light arrowMkurugenzi wa CBE Dodoma Kampasi,Dr. Kembo Bwana akitoa maelezo kwenye kamati maalumu ya ukaguzi wa utekelezaji wa maagizo ya Serikali katika vyuo vya juu ya kujikinga na maambuizi ya COVID-19.Kamati hiyo ya watalamu ina jumuisha watalamu wa afya na maendeleo ya jamii toka ofisi ya Mkuu za Mkoa wa Dodoma na Mkurugenzi wa jiji la Dodoma . Maeneo waliyokagua ni pamoja na maeneo ya kunawia wanafunzi, wageni na wafanyakazi, vipima joto, uvaaji wa barakoa kwa wanafunzi, wageni na wafanyakazi, social distance madarasani mabwenini, Cafeteria, na sehemu zingine chuoni, vitakasa mikono kwa watumishi n.k. Kwa ujumla wameipongeza menejimenti ya Chuo kwa kutekeleza vyema maelekezo ya serikali na kukitaka chuo kiendelee kuboresha huduma za kujikinga na COVID-19. Hongereni menejimenti na wafanyakazi wote kwa kufanya vizuri

TAREHE YA KUFUNGULIWA CHUO DODOMA KAMPASI

Published in New events
Tuesday, 26 May 2020 00:00
1801 Hit
(6 votes)

Mkuu wa chuo cha elimu ya biashara cbe anawatangazia wanafunzi wote kuwa chuo kitafunguliwa tarehe 01/06/2020 katika kampasi zake zote.

Wanafunzi wa bweni wanashauriwa kuripoti kabla ya tarehe 01/06/2020
Wanafunzi wote wanapaswa kuzingatia yafuatayo:


1. Wanafunzi wa bweni wataendelea kukaa kwenye vyumba walivyopangiwa kabla ya chuo kufungwa.
2. Wanafunzi wa ngazi ya cheti na diploma1 “march intake” ambao hawajakamilisha usajili, wanaelekezwa kukamilisha usajili wao kuanzia tarehe 29 mei, 2020 hadi 05 juni, 2020.
3. Wanafunzi wanatakiwa kupakua ratiba ya masomo kwenye “saris account “ yao.
4. Wanafunzi wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
i. Kunawa mikono kwa sabuni kila mara katika sehemu zilizotengwa chuoni
ii. Kuepuka misongamano
iii. Kuvaa barakoa (masks) pamoja na kutumia vitakasa mikono (hand sanitizer) watakapokuwa chuoni au popote pale penye mkusanyiko wa watu.
5. Kuzingatia maelekezo mbalimbali yanayotolewa na wizara ya afya.
Maelekezo zaidi kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia pindi wanafunzi watakapokuwa chuoni yanapatikana kwenye mbao za matangazo pamoja na tovuti ya chuoHistory of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act. 

Connect with us :

     IconFacebookIconTwitterinsta 2IconYoutubeIconLinkedIn

 

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177