GRADUATION CEREMONY 2024
Mahafali ya 59 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), na ya 41 kwa Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika tarehe 21-11-2024 katika Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete, Dodoma.
Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo alikuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo(Mb).