GRADUATION ACADEMIC PROCESSION 2024



Mlau wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dodoma, Dkt. Josephine Churk akiongoza maandamano (academic procession) ikiwa ni sehemu katika kuanza kwa Mahafali ya 41 ya Chuo hicho kwa Kampasi ya Dodoma. Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Chuo, Wahadhiri pamoja na Wanafunzi walishiriki maandamano hayo leo Novemba 21, jijini Dodoma katika viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete.